Error loading page.
Try refreshing the page. If that doesn't work, there may be a network issue, and you can use our self test page to see what's preventing the page from loading.
Learn more about possible network issues or contact support for more help.

Njinga wa Ndongo na Matamba

ebook
1 of 1 copy available
1 of 1 copy available

Njinga wa Ndongo na Matamba ni hadithi ya kweli ya msichana ambaye alikuwa karibu kufa wakati wa kuzaliwa, lakini kwa namna fulani alishinda vikwazo vyote na akawa malkia wa falme mbili. Akiheshimiwa kwa hekima, ujasiri, na nguvu zake, Njinga alikua mmoja wa watu mashuhuri zaidi kisiasa nchini Angola miaka ya 1600.

Kitabu hiki cha watoto chenye michoro mingi kinaeleza changamoto alizokabiliana nazo tangu siku aliyozaliwa. Ilibidi Njinga ashinde wivu wa kaka yake, kufiwa na baba yake, na uvamizi wa Wareno huku kipindi cha majaribu makubwa kilipoanza Africa.

Hadithi hii ya matumaini na ujasiri inaonesha kuwa kila msichana mdogo ana uwezo mkubwa

Formats

  • OverDrive Read
  • EPUB ebook

Languages

  • Swahili

Loading